change language
wewe ni katika: nyumbani - jumuia au jumuiya - kuhubiri injili newsletterlink

sostieni la comunità

  

Kuhubiri injili


 
printable version
Uenezaji Injili

"Kazi" ya pili ya Jumuiya, na pia nguzo yake ya pili ni uenezaji wa Injili. Injili yenyewe ndiyo kweli, habari njema tunayoweza kushirikiana na watu wengine; hazina ya thamani na mwanga usioweza kufichika. Injili siyo mali binafsi, ni jukumu kwa wanachama wa Jumuiya kutangaza Habari Njema kwa watu wengine. Tumeitwa kushirikiana hiyo Habari Njema.
Katika kuishi katika Jumuiya ya Sant’Egidio, kuwa mitume na kuishi kwa kushirikishana Injili ni neno moja. Ni jambo la furaha na la kusherehekea, kama tusomavyo katika Injili ya Luka wakati wale 72 waliporudi wakiwa wamejawa na furaha huku wakisema: "Bwana, hata mashetani wanatutii tunapolitumia jina lako" (Lk 10:17). Ni ushuhuda kwa kila mmoja wa wale wanafunzi na pia kila mwanachama wa Jumuiya ya Sant’Egidio, ambao umetuongoza katika miaka hii ya karibuni, kuweza kuishi "umisionari wa kindugu" katika sehemu nyingi za dunia.

 PIA KUSOMA
• NEWS
15 Juni 2014
ROMA, ITALIA

On Sunday 15 June Pope Francis will visit the Community of Sant'Egidio. The meeting with the poor at the core of the day

IT | EN | ES | DE | FR | PT | CA | NL | RU | ID | PL | HU | CS | ZH | UK
5 Februari 2014
ROMA, ITALIA

46th Anniversary of the Community of Sant’Egidio, 6.30 pm in Live Streaming

IT | EN | ES | PT | CA
11 Mei 2011

The celebration of the 43rd anniversary of the Community of Sant'Egidio in Antwerp (Belgium)

IT | EN | ES | DE | FR | CA | NL | RU
28 Februari 2011

Liturgy for the Anniversary of the Community of Sant'Egidio in Naples (Italy)

IT | EN | DE | NL
7 Februari 2011

Appointments for the celebration of the 43rd anniversary of the Community of Sant'Egidio

IT | EN | ES | NL
2 Februari 2011

SANT’EGIDIO, BIRTHDAY: A YEAR OF CLOSENESS TO THE PEOPLE WHO DON’T COUNT, A YEAR OF DIALOGUE FOR BUILDING PREVENTATIVE PEACE AND FRIENDSHIP

IT | EN | ES | FR
all habari
• PRINT
5 Machi 2014
Il Messaggero

Quell'esercito di disperati che sopravvive come può

9 Februari 2014
Corriere Mercantile

Sant'Egidio, 46 anni di solidarietà

7 Februari 2014
Avvenire

Sant'Egidio. Becciu: tra i poveri, per i poveri

7 Februari 2014
L'Osservatore Romano

Per una Chiesa in uscita

13 Juni 2014
AICA

El papa Francisco visitará el domingo a la Comunidad de San Egidio

10 Juni 2014
eldiario.es

El papa visitará el barrio romano de Trastevere para orar por los pobres

releases wote vyombo vya habari
• HATI

Homilía del cardenal Jaime Lucas Ortega y Alamino, arzobispo de La Habana, en la liturgia de acción de gracias por el 47 aniversario de la Comunidad de Sant'Egidio

nyaraka zote

21/01/2018
Liturgy of the Sunday

Sala za kila siku