Riccardi Andrea: kwenye mtandao

Riccardi Andrea: kwenye mitandao ya kijamii

change language
wewe ni katika: nyumbani - jumuia au jumuiya - urafiki ... maskini newsletterlink

Support the Community

  

Urafiki na maskini au Urafiki kwa maskini


 
printable version
Urafiki na Watu Maskini
"Kazi" ya tatu mahususi ya Jumuiya ya Sant’Egidio ambayo ni jukumu la kila siku tangu mwanzo ni utumishi kwa watu maskini, ambao pia ni wajibu wa kila siku tangu kuanzishwa kwake katika jukumu la kuishi urafiki. Vijana wanafunzi wa mwaka 1968 walioanza kukutana kwa ajili ya Neno la Mungu waligundua kwamba haingewezekana kamwe kuliishi mbali na watu maskini: watu maskini kama marafiki na Injili kama Habari Njema kwa watu maskini.
Kwa njia hii Jumuiya ilianza huduma zake kabla haijapata jina la Sant’Egidio. Wakati huo iliitwa "shule ya watu" kwa sababu haikuwa tu inatoa elimu ziada kwa watoto wahama-shule wa mitaa ya mabanda (kwa mfano mabanda ya "Cinodromo" kando kando ya Mto Tevere) mjini Roma, bali ilikuwa ndio chanzo cha urafiki kati ya watu tajiri na wale maskini. Tangu wakati huo, "shule za watu" zilianza kukua na kuongezeka Roma na katika miji yote ambamo Jumuiya inaishi, huku umuhimu mkubwa ukipewa hasa kwa wale wanaoishi katika hali zilizo ngumu zaidi. 
Kuambatana na sura ya 25 ya Injili ya Mathayo, urafiki huu uliweza kusambaa hadi kwa watu wa namna nyingine za umaskini: viwete, watu wenye akili pungufu, wasio na makao, wahamiaji maskini kutoka nchi zingine, wagonjwa, kambi za Wagypsi na za wakimbizi. Kwa miaka hii iliopita, kumekuweko kutafakari zaidi juu ya hali za umaskini ambazo hazikuwepo, hasa katika nchi za Ulaya ambako kwa mfano, wazee huishi hali ya upweke hata kama wanazo mali.
Jumuiya ya sant’Egidio hujiweka karibu na wale wanaochukuliwa kuwa duni zaidi, ikiwatambua kama ndugu pasipo ubaguzi wowote. Hao ni sehemu kamili ya Jumuiya. Kila palipo Jumuiya ya Sant’Egidio, kuanzia Roma hadi San Salvador, Cameruni hadi Ubelgiji, Ukraini hadi Indonesia, urafiki na kufahamiana na watu maskini zimekuwa daima shina lake. Hakuna Jumuiya, hata ile changa zaidi, ambayo ni ndogo au hafifu sana hata kutoweza kuwasaidia watu wengine maskini. Ni ile "hela ya mjane" iliyo na thamani kubwa zaidi mbele za Bwana (Mk. 12:41).  PIA KUSOMA
• NEWS
7 Desemba 2016
LONDON, UINGEREZA

In London there is a table ready for the poor: it's called ''Our Cup of Tea''. The video by BBC

IT | EN | DE | FR | PT | HU
16 Novemba 2016
ADJUMANI, UGANDA

Uganda: big news for the refugee children at the School of Peace in Nyumanzi

IT | EN | ES | DE | PT | ID
13 Oktoba 2016
BANGUI, JAMHURI YA AFRIKA

A delegation of the Community of Sant'Egidio meets the President of the Central African Republic Touadéra

IT | EN | ES | DE | FR | PT | RU | HU
5 Oktoba 2016

5th October, World Teacher’s Day: All to school…of peace!

IT | EN | ES | DE | PT | RU | ID | HU
1 Septemba 2016

September 1st, memory of Saint Egidio. The Community that took his name give thanks in every part of the world

IT | EN | ES | DE | FR | PT | CA
29 Agosti 2016
NAIROBI, KENYA

Sant'Egidio in Nairobi to talk about peace, development and the right to care for all

IT | EN | ES | FR | PT | CA | RU | HU
all habari
• PRINT
7 Desemba 2016
Il Secolo XIX

Spettro povertà, l'aiuto riparta dalle periferie

5 Desemba 2016
Corriere della Sera

La chiave sotto una campana di vetro. Misteriose opere di artisti disabili

3 Desemba 2016
FarodiRoma

Disabilità. Sant’Egidio inaugura a Ostia “La forza degli anni"

3 Desemba 2016
Avvenire

Corridoi umanitari, quota 500 Arrivano da Homs e Aleppo

1 Desemba 2016
Il Piccolo

«Chi chiede l'elemosina è vittima di pregiudizi»

1 Desemba 2016
Zenit

Africa: 300mila sieropositivi curati da Sant’Egidio

releases wote vyombo vya habari
• HATI

La GUÍA "DÓNDE comer, dormir, lavarse" 2016

nyaraka zote
• VITABU

La fuerza de los años

Ediciones Sígueme

La Chiesa dei poveri

Francesco Mondadori
vitabu vyote

11/12/2016
Liturgy of the Sunday

Sala za kila siku

Per Natale, regala il Natale! Aiutaci a preparare un vero pranzo in famiglia per i nostri amici più poveri