change language
wewe ni katika: nyumbani - jumuia au jumuiya - jumuia i...ala kuta newsletterlink

sostieni la comunità

  

Jumuia Isiyokuwa na Mipaka wala kuta


 
printable version
Jumuia Isiyokuwa na Mipaka wala kuta
Urafiki kati ya watu wa mataifa na mila tafauti ni njia ya kila siku ya kuendeleza undugu huu wa kimataifa katika Jumuiya ya Sant’Egidio. Ushirika huu wa kuishi pamoja kimataifa ina maana ya kuwa wazi kwa dunia nzima na pia kuishi katika familia moja, familia ya Mitume. 
Katika ulimwengu ambao mwisho wa milenia ya pili umezidisha vizingiti kati ya watu na kuchochea ubaguzi wa kitaifa na wa tofauti za mila na tamaduni, na ambayo ndiyo imekuwa chanzo cha migogoro mingi ya zamani na hata mipya. Jumuiya za Sant’Egidio zinashuhudia uwepo wa hatma sawa kwa watu wote, siyo tu kwa walio wakristu, bali kwa wanadamu wote.
Zipo Jumuiya changa sana na pia kunazo zile za zamani zaidi. Nyingine zina idadi kubwa sana ya watu na mizizi iliyopenya zaidi kuliko nyingine; nyingine nazo zinajulikana zaidi kwenye mitaa au sehemu zilipo, lakini zote kwa pamoja zinajitahidi kuwa, na kwa kweli ni familia iliyomzunguka Yesu.
Jumuiya ya Roma ndiyo Jumuiya kongwe zaidi ya zote. Ikiwa ni Jumuiya ya kwanza, inatoa huduma ya kuziweka pamoja zile Jumuiya changa bila kizingiti chochote "ila upendo" kama Baba Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili alivyosema katika kumbukumbu ya miaka 25 ya Jumuiya ya Sant’Egidio mwaka 1993. Muungano huu unajieleza katika ushirika halisi na umoja kati ya ndugu, na ni muundo bora zaidi kwa maisha na shughuli za Jumuiya yenyewe.

 PIA KUSOMA
• NEWS
23 Mei 2011

Barcelona (Spain) – In the Culture and Language School of the Community of Sant'Egidio, in the district of Raval, learning the art of “living together”

IT | EN | ES | FR | CA | NL
13 Julai 2009

Ostia (Rome) : 400 Afghan kites in the sky of Ostia say no to intolerance, approaching peoples and cultures

IT | EN | ES | FR | PT | NL | ID
2 Julai 2009

Rome: "We love you" : the elderly of the home-community of Via Fonteiana send a message against intolerance, for a friendly and solidal neighbourhood

IT | EN | DE | FR | PT | NL | ID
3 Februari 2016
ROMA, ITALIA

USA-Italy Migration Conference: Integration strengthens democracy and builds a common culture

IT | EN | ES | DE | FR | PT | CA
17 Juni 2011

"Dying of hope": the names and stories of migrants who died during their travel to Europe were commemorated during a Prayer Vigil in Santa Maria in Trastevere

IT | EN | ES | DE | FR | CA | NL
9 Juni 2011

Rome, June 11: Audience of Roma in Europe with the Pope. Vigil and delivery of a memory of Blessed Ceferino

IT | EN | ES | DE | FR | CA | RU
all habari
• PRINT
22 Januari 2017
Avvenire - Ed. Lazio Sette

«L'integrazione, interesse di tutti»

23 Februari 2017
Main-Post

Abschiebung in die Ungewissheit

22 Januari 2017
El Pais (Spagna)

Papa Francisco: “El peligro en tiempos de crisis es buscar un salvador que nos devuelva la identidad y nos defienda con muros”

31 Machi 2016
Famiglia Cristiana

Islam, solo l'integrazione porterà alla pace

4 Februari 2016
Avvenire

Immigrazione, agenzia europea sul modello Usa

16 Januari 2016
ASCA

Sant'Egidio: riscoprire il valore dell'immigrazione

releases wote vyombo vya habari
• HATI
Comunità di Sant'Egidio

Cinque proposte sull’immigrazione

Appello al Parlamento ungherese sui profughi e i minori richiedenti asilo

Corso di Alta Formazione professionale per Mediatori europei per l’intercultura e la coesione sociale

Dove Napoli 2015

Comunità di Sant'Egidio: Brochure Viva gli Anziani

Analisi dei risultati e dei costi del programma "Viva gli Anziani"

nyaraka zote

21/01/2018
Liturgy of the Sunday

Sala za kila siku