Riccardi Andrea: kwenye mtandao

Riccardi Andrea: kwenye mitandao ya kijamii

change language
wewe ni katika: nyumbani - jumuia au jumuiya - kusaidia amani newsletterlink

Support the Community

  

Kusaidia amani


 
printable version
Huduma kwa Ajili ya Amani: 
Kuifanya Dunia Kuwa na Ubinadamu Zaidi
Urafiki na maskini iliifanya Jumuiya ya Sant’Egidio kutambua vyema zaidi kwamba vita ndiyo hasa mama wa umaskini. Kwa njia hii upendo kwa watu maskini katika hali nyingi tofauti uligeuka kuwa kuwa kazi ya kutafuta amani, kuilinda pale inapohatarishwa, na kusaidia kuijenga upya kwa kuhimiza moyo wa majadiliano popote pale ambapo imevunjika. Njia ifanikishayo huduma ya kuleta amani ni kwa kutumia nguvu hafifu ya sala, kushirikiana hali ngumu za maisha, kukutana na kujadiliana.
APia, pale ambapo hali iliyopo hairuhusu kazi hii ya kuleta amani, Jumuiya hujitahidi kuleta ushirikiano kindugu kupitia misaada ya kibinadamu kwa raia wa kawaida ambao ndio wanaoadhirika zaidi katika vita.
Labda hizi ndizo sehemu ya shughuli za Sant’Egidio zinazofahamika zaidi, zinazozugumziwa sana kwenye vyombo vya habari. Lakini siyo mara nyingi utasikia vyombo hivyo vikitangaza shughuli zile za kindani za Jumuiya zinazotendeka daima za kufanya kazi pamoja na watu maskini, na kwamba Injili ndiyo mzizi wa kazi hizi.
Wanachama wa Jumuiya waliweza pia kuwa wawezeshaji na wapatanishi wa mazungumzo ya amani nchini Mozambiko na pia Guatemala, ambako vita vya kimauaji vilidumu kwa zaidi ya miaka 30.
Afrika na katika Balkan, na sehemu nyingine za Ulimwengu zilizojawa vita, zipo pia katika mawazo, nia na makusudio ya Jumuiya ya Sant’Egidio. Ilikuwa ni katika hali kama hizi ambapo imani ya Jumuiya ya Sant’Egidio katika "nguvu hafifu" ya sala na uwezo-kimapinduzi wa kuishi na kushawishi pasipo kutumia mabavu kutafuta amani ilipata kuzaliwa. Hizi ndizo fikra ambazo Yesu Kristu mwenyewe aliishi nazo hadi mwisho.
Kwa sababu hii, Jumuiya daima hushughulikia huduma ya kuleta uwelewano na mazungumzo kati ya madhehebu na imani mbali mbali. Tangu 1987 Sant’Egidio imejitolea kuanzia mashinani hadi kiwango cha kimataifa katika kupanga mikutano ya kila mwaka, kongamano na mikutano ya sala katika "Moyo wa Assisi".
Kwa kuitikia wito wa Assisi wa kulinda maisha katika hali zote, Jumuiya hii imejitolea katika kiwango cha kimataifa pamoja na mashirika mengine, kushughulikia shindikizo la kimataifa dhidi ya hukumu ya kifo katika mwaka wa 2000. Kampeni hii ni mnara mkubwa katika vita vya kulinda thamani ya uhai, na inawashirikisha wanachama wa Sant’Egidio kote ulimwenguni.
Mzizi huu huu wa Injili ndio shina la mipango mingine ya kibinadamu ambako wito huwaendea watu wote wenye nia njema bila kujali imani zao. Hii inahusisha pia Kampeni dhidi ya mabomu ya kutegwa ardhini, misaada kwa wakimbizi na kwa waadhiriwa wa vita na njaa kusini mwa Sudan, Burundi, Albania na Kosovo, juhidi za kuwasaidia watu wa Amerika ya Kati walioadhiriwa vibaya na tufani, na pia dhidi ya biashara ya utumwa kokote inapofanyika.

The School of Peace in Kukes,
in the Kosovar refugee camp PIA KUSOMA
• NEWS
4 Aprili 2017

Let's ask to stop the 8 executions planned in Arkansas by April. Sign the Appeal!

IT | EN | DE
31 Machi 2017
LONDON, UINGEREZA

In London, after sorrowful and deadly events, "our cup of tea" strengthens commitment for peace

IT | EN | ES | DE | FR | PT | NL
16 Machi 2017

The patient work of dialogue can save millions of lives

28 Februari 2017

Abuna Matthias, Patriarch of Ethiopian Church, sent a letter of gratitude and appreciation to Sant'Egidio

IT | EN | ES | DE | FR
27 Februari 2017

Message of Sant'Egidio to the Launch of the Bangsamoro Transition Commission

9 Februari 2017
UFILIPINO

Sant'Egidio expresses solidarity with the Catholic Bishops Conference of the Philippines for the struggle against death penalty

all habari
• PRINT
21 Mei 2017
Deutsche Welle

Bundesregierung will Religionen stärker in die Pflicht nehmen

14 Mei 2017

Die "Uno von Trastevere" wirkt auch in Berlin

11 Mei 2017
Famiglia Cristiana

Il dialogo: scelta non debole ripiego

30 Aprili 2017
Corriere della Sera

L’intervento. Il patto con l'islam che aiuta l'unità tra cristiani

28 Aprili 2017
FarodiRoma

In Egitto l’abbraccio del Papa con il Grande Imam di Al-Azhar: Francesco, fratello caro

11 Aprili 2017
Vatican Insider

Eta, Sant’Egidio: la consegna delle armi un punto di non ritorno nel processo di riconciliazione

releases wote vyombo vya habari
• MATUKIO
11 Mei 2017 | NOVARA, ITALIA

Preghiera per la pace con il vescovo armeno di Damasco Armash Nalbandian

Mikutano yote ya maombi kwa ajili ya amani
• NO KIFO
24 Septemba 2015

Pope Francis calls on Congress to end the death penalty. "Every life is sacred", he said

12 Machi 2015
Associated Press

Death penalty: a look at how some US states handle execution drug shortage

5 Machi 2015
Associated Press

Nitrogen gas executions approved by Oklahoma House

28 Februari 2015
Reuters

Australian PM strikes conciliatory note over Indonesia executions

28 Februari 2015
AP

US Supreme Court won't lift stay in Florida execution

25 Februari 2015
Reuters

Saudi court gives death penalty to man who renounced his Muslim faith

21 Februari 2015
AP

New Oregon governor will continue death penalty moratorium

15 Februari 2015

Archbishop Chaput applauds Penn. governor for halt to death penalty

kwenda hakuna adhabu ya kifo
• HATI

Libya: The humanitarian agreement for the region of Fezzan, signed at Sant'Egidio on June 16th 2016 (Arabic text)

nyaraka zote

23/05/2017
Memory of the Mother of the Lord

Sala za kila siku