change language
wewe ni katika: nyumbani - jumuia au jumuiya newsletterlink

sostieni la comunità

  

Jumuia au Jumuiya


 
printable version
Mwanzo Wake
Jumuiya ya Sant'Egidio ilianzishwa mjini Roma mwaka 1968 kutokana na juhudi za kijana ambaye wakati huo alikuwa na umri chini ya miaka 20, jina lake Andrea Riccardi. Aliwakusanya pamoja vijana wenzake wanafunzi wa shule za Sekondari na kuanza kusoma na kujitahidi kuliishi Neno la Mungu maishani mwao. Mifano ya Jumuiya za kwanza za Kikristu katika Matendo ya Mitume, pamoja na maisha ya Mtakatifu Francis wa Assisi, ndivyo vilivyokuwa vielelezo muhimu kwa vijana hawa.
Icon of Pentecost
Church of Sant'Egidio, Rome
True Portrait of Francis of Assisi
St. Francis' Crib, Greccio (Rieti)
Kikundi hicho kidogo kilianza haraka kuenea katika mitaa ya Roma, wakitembelea makazi ya mabanda ambayo yalijaa watu maskini, na wakaanzisha shule za jioni (zilizojulikana kama "scuola popolare" yaani shule za watu, ama siku hizi "shule za amani") kwa ajili ya watoto. 
The slum near the Cinodromo, Rome, 1968
Tangu wakati huo Jumuiya imeendelea kukua. Kwa sasa ipo katika nchi zaidi ya 60 katika Mabara manne. Idadi ya wanachama nayo imeendelea kuongezeka sambamba na ongezeko la idadi ya Jumuiya. Wapo duniani kote kadri ya wanachama 40,000 pamoja na wengine wengi ambao wanashiriki daima katika kazi ya kuwahudumia maskini na katika shughuli nyingine mbali mbali za Jumuiya ya Sant’Egidio. Pia kuna idadi kubwa ya watu wanaopokea huduma za aina mbalimbali ambazo Jumuiya hutoa.
The People's School


RELATED HABARI
15 Juni 2014
ROMA, ITALIA

On Sunday 15 June Pope Francis will visit the Community of Sant'Egidio. The meeting with the poor at the core of the day

IT | EN | ES | DE | FR | PT | CA | NL | RU | ID | PL | HU | CS | ZH | UK
5 Februari 2014
ROMA, ITALIA

46th Anniversary of the Community of Sant’Egidio, 6.30 pm in Live Streaming


Basilica of St. John Lateran
IT | EN | ES | PT | CA
11 Mei 2011

The celebration of the 43rd anniversary of the Community of Sant'Egidio in Antwerp (Belgium)

IT | EN | ES | DE | FR | CA | NL | RU
28 Februari 2011

Liturgy for the Anniversary of the Community of Sant'Egidio in Naples (Italy)

IT | EN | DE | NL
7 Februari 2011

Appointments for the celebration of the 43rd anniversary of the Community of Sant'Egidio

IT | EN | ES | NL
2 Februari 2011

SANT’EGIDIO, BIRTHDAY: A YEAR OF CLOSENESS TO THE PEOPLE WHO DON’T COUNT, A YEAR OF DIALOGUE FOR BUILDING PREVENTATIVE PEACE AND FRIENDSHIP

IT | EN | ES | FR
wote habari kuhusiana

ASSOCIATED PRESS
16 Novemba 2017
La Vanguardia
Un alma global
8 Juni 2017
OnuItalia
Sant’Egidio: piccola Onu di Trastevere entra all’Onu, alleanza strategica per la pace
10 Februari 2017
RomaSette.it
Becciu a Sant’Egidio: «I poveri siano sempre il vostro tesoro»
10 Februari 2017
L'Osservatore Romano
Una presenza vivace
10 Februari 2017
Avvenire
Roma. Becciu: Sant'Egidio porta Cristo nelle periferie
wote wa waandishi wa habari zinazohusiana na

21/01/2018
Liturgy of the Sunday

Sala za kila siku